Miss Tanzania aliyewahi kuwa gumzo nchini, Wema Sepetu alizindua filamu yake inayokwenda kwa jina la Superstar, yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojiri hapa ni Wema mwenyewe akiingia ukumbini
watu wakishuhudia mzigo...
BongoMovie SuperStars...
Wageni waalikwa...
THT walitumbuiza!Unawajua hawa? Kuslia kabisa ni Asmah Makau anayefuata ni Dina, halaf nanii na nanii













