Google PlusRSS FeedEmail

WAYNE AINGIZA NYIMBO 100 BILLBOARD


Lil Wayne ameingia katika vitabu vya historia baada ya rapa huyo mmliki wa lebo ya kurekodi muziki ya Young Money kuingiza wimbo wake 100 katika chati za Billboard R&B/HIP-POP songs wiki hii.Weezy ameingia katika chati hizo kam mgeni mwalikwa katika wimbo wa single ya Montana ya ‘Pop That’ambayo imeingia katika Nambar 57.

Yeye ni msanii wa tatu na rapa wa pili kufikia mafanikio tangu Billboard ilipoanza kuanda chati zake mwaka 1942 , Jay-Z bado anaongoza kwa upande wa marapa 108 katika chati hizo.

Hata hivyo Weezy na Jiga wako nyuma ya mwanamuziki marehemu James Brown,ambaye aliingiza nyimbi 111baina ya mwaka 1956 na 1993 Rapa Lil Wayne aliingia kwa mara ya kwanza katika chati za nyimbo bora za R&B Mei 199 kama msanii anayeshirikishwa katika wimbo wa rapa Juvenile wa ‘Back That Thang

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging