Google PlusRSS FeedEmail

BEAT AWARDS 2012

Usiku wa Jumapili iliyopita B.E.T na Kanye West - Jay-Z ni moja kati ya wasanii waliochukua tunzo...wengine waliojipatia tunzo ni Diggy Simmons alichukua tunzo ya Younstar Award, Chriss Brown alichukua tunzo ya “Best Male R&B Artist Msanii mburudishaji wa mwaka. Beyonce alishinda tuzo ya Video Director wa mwaka akiwa na Alan Ferguson na ngoma ya “Party” na Best Female R&B Artist wakati Wale na Miguel wakashinda tuzo ya “Lotus Flower Bomb” na Nick Minaj alishinda kama Best Female Hip-Hop Artist.

                                     WENGINE WALIOJINYAKULIA TUNZO NDIO HAO

Centric Award
Common

Younstars Award
Diggy

Best Group
The Throne (Jay-Z and Kanye West)

Best Actor
Kevin Hart, "Think Like a Man"

Best New Artist
Big Sean

Best Male R&B Artist
Chris Brown

Best Collaboration
Wale (featuring Miguel), "Lotus Flower Bomb"

Best Gospel
Yolanda Adams

Best Female R&B Artist
Beyoncé

Best Female Hip-Hop Artist
Nicki Minaj

Lifetime Achievement Award
Maze, featuring Frankie Beverly

Video of the Year
The Throne (Jay-Z and Kanye West), featuring Otis Redding, "Otis"

Humanitarian Award
The Reverend Al Sharpton

Viewers' Choice Award
Mindless Behavior

Video Director of the Year
Beyoncé and Alan Ferguson

Entertainer of the Year
Chris Brown

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging