Nashukuru Mungu tumerudi salama na Mume wangu ametibiwa vizuri, kwa sababu bado anahitaji matibabu ziadi kwa sasa ni kufanya kazi kwa nguvu zangu zote, kwani maisha yetu wasanii wa Tanzania ni tofauti sana na wenzetu wa India, wasanii wao wana umoja sana na wanaona faida kwa kazi wanayofanya, kwetu lazima ufanye kazi sana kwa sababu ndio maisha yetu nimepanga kufanya kazi kwa nguvu sana, anasema Stara.
Stara mwanadada mwenye uwezo mkubwa wa utengenezaji wa filamu hapa nchini amepanga kuanza rasmi kazi zake za filamu akishirikiana na mumewe kwa kutumia kapuni yao ya Wajey Film, kwa sasa yupo katika maandalizi makali kwa kuandika hadithi za filamu ambazo anatarajia kuanza kurekodi hivi karibuni, muda si mrefu ...