Bidhaa za marehemu Kanumba kama aina ya nguo alikuwa akipenda kuvaa, filamu alizowahi kuigiza, picha zake zitaonyeshwa katika maonyesho ya Sabasaba mwaka huu, familia ya marehemu imechukua banda kwa ajili ya maonyesho hayo ambayo yatakuwa ya aina yake kufanyika katika uwanja huo,”anasema Magulu.Katika banda hilo pamoja na kuona bidhaa za msanii huyo lakini pia kwa wale watakaotembelea banda hilo watapata fursa ya kuongea na wanafamilia kama Seth Bosco mdogo wa Marehemu ambaye alikuwa karibu sana na marehemu Steven Kanumba, Mama yake mzazi, wafanyakazi wa kampuni yake ambao wamefanya kazi na marehemu kwa muda mrefu kwa wale watakaotaka kujua mengi yamhusuyo Kanumba itakuwa ndio nafasi yao....
BIDHAA ZA KANUMBA KUUZWA SABASABA.