Google PlusRSS FeedEmail

CHANZO CHA AJALI YA CHEGE CHAJULIKANA

Chege kaumia mkono katika ajali iliyotokea Temeke maeneo ya Veta jijini Dar es Salaam July 16 mwaka huu majira ya saa tano usiku chanzo cha ajali hiyo kilisababishwa na muendesha pikipiki kuingia ghafla barabarani,na kusababisha muendesha pikipiki huyo kuumia na kupelekea hospitaly Kwenye gari hilo la Chege alikuwa na wenzake wengine ambao wote wamenusurika, Akizungumza na mwandishi wa blog hii alisema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri na yuko njiani anaelekea Kigomo kwa ajili ya kufanya shoo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging