Mwanamuziki wa muziki wa dansi nchini kupitia bendi ya Twanga pepeta ‘Ramadhani Hamisi ‘Dogo Rama amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa yeye ni muimbaji tishio kwa bendi za hapa nchini , akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni alisema kila kunapopambazuka kiwango chake kinazidi kupanda katika uimbaji wake“Mashabiki ndio wanaojua na nimekuwa nikipata pongezi kupitia barua pepe pamoja na ukurasa wangu wa facebook” alisema Dogo Rama. Kwa mwanamuziki huyo amekuwa nyota katika bendi hiyo ya Twanga pepeta iondokewe na qanamuziki wake kama Khalid Chuma ‘Chokoraa’
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








