Rapper aliyewahi kuwa mmoja wa wanamuziki wa kundi la Cash Money Christopher Dorsey amehukumiwa kwenda jela miaka 14 jela mara baada ya kukutwa na hatia ya kukutwa na silaha kinyume cha sheria,Rapper huyo ambaye amekuwa akishikiliwa mara kwa mara na polisi akihusishwa na makosa mbali mbali ya jinai amehukumiwa na Judge Helen Berrigan katika mahakama ya huko New Orleans Nchini Marekani...Rapper huyo tayari alishawahi kukamatwa mara tatu akiwa na pistol katika kipindi cha mwaka 2009...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








