Kupitia kwenye kituo kimoja cha Radio Mwanamuziki Tunda amesema ,bosi wa kundi hilo Ustadh Juma na musoma amekua akimtumia watu ili kumsawishi ahamie kampuni yake hiyo."Awali Ustadh Juma na musoma alitaka kunipa Million 10 na nikaona haitoshi kunihamisha TipTop na ukizingatia nina mkataba wa kiroho na Tiptop na mimi ni mtoto wa Manzese na nimekulia Manzese so itanibidi nifanye maamuzi makubwa sana kuhama TipTop""Pili familia yangu na watu kama Madee , Bab Tale, Abdu Bonge hawata nielewa nikihama kwa kiasi hicho ila akinipa millioni 100 mimi nitajua jinsi ya kuwapanga watu wang"Mpaka sasa hakuna alienishauri niende chama lake la Watanashati ila nimemtajia pesa ninayo itaka wakati anaenda Arusha na Dogo Janja kwahiyo akiamua kunipa mkataba tutajua, TipTop nafanya vizuri na litakua pengo kubwa kwa TipTop nikihama"Tunda amefunguka kuwa Ustadh Juma na musoma anajua nitakuwa na mchango mkubwa kwa kampuni yake ya watanashati katika idea na kuandika nyimbo zao , Mpaka sasa hakuna msani mwenye uwezo wakuingarisha mtanashati kama ambavyo nitafanya mimi."Hata Dogo Janja alikuwa anapewa nguvu kubwa na wasanii waTiptop na kundi kwa ujumla sio nguvu yake mwenyewe."Nilivyo mwambia nataka Million 100 alisema nimpe muda afanye maongezi na watu wake atanijibu..so mpaka sasa najua nitafanya vipi akikubali"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.