Rais Obama ameonesha kuguswa na filamu inayo kwenda kwa jina "Intouchables" ambayo imeigizwa na Mfaransa, Omar Sy. Chanzo chetu cha habari kinatuambia kwamba Rais na Mke wake Mishel Obama walituma maombi ya kupatiwa copy ya nakala ya filamu hiyo kwa ajila ya uchunguzi ndani ya ikulu ya marekani. Kitendo hichi kinaweza kumfanya mfaransa huyu mwenye asili ya Africa kuongeza umaaraufu wake na pengine kupata mauzo makubwa zaidi na kuwa billionaire.Omary sy amekuwa mtu wa kwanza kushinda tuzo la “ France’s Oscar equivalent”, the César Award.na nyota yake inaonekana kuzidi kung’a pale ambapo mwezi wa nane anatarajia kuwa mjini Los Angeles kwenye kampuni ya Weinstein Co...waandaaji wa filamu mbalimbali kwa muda wa miezi sita akijiandaa na matayarisho ya tuzo ya mwaka kwa ajili kufunga mwaka.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.