Katika shamrashamra za kusherekea Saba Saba bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Afrika Band imeungana na wananchi kwa aina yake katika kusherehekea siku hizo kwa kutoa burudani ya nyimbo mpya zilizopo katika CD " BONGO TAMBARARE" na kuziachia baadhi ya nyimbo redioni kama "Supu ya Mawe" na "Uhuru wa Habari"Inasemekana imeshaanza kupiga hodi katika milango ya vituo mbali mbali vya redio duniani na hapa nyumbani itasikika wakati wowote kuanzia sasa,hili watanzania wenye Bongo Tambarare yawe wapate raha ya muziki. CD hiyo yenye nyimbo tatu zilizojaa ujumbe wenye furaha na mafunzo kwa jamii,kama vile "Supu ya Mawe" ni utunzi na wake kiongozi wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja wa FFU akiimba kwa kushirikiana na mpiga solo afande Chris-B.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.