Mkongwe wa Filamu za mapigo Sylvester Stallone ‘Rambo’ amesema kwa sasa hatojisikia furaha kama ataendelea kuulizwa maswali juu ya kifo cha mtoto wake. Sage Stallone amefariki hivi karibuni kutokana na kubwia sana dawa ya kulevya. Hilo limeonekana ni pigo kubwa kwa Rambo ambaye alikuwa amejitenga na kumwangalia Sage ambaye ndiye wa kwanza kuzaliwa “hakuna mzazi ambaye atafurahia kuona mtoto wake amefariki kwa sasa sitopenda kuona naulizwa maswali mengi” Rambo alidai kuwa kwa sasa yupo katika kipindi kigumu huku akijiuliza maswali mengi ambayo hapati majibu yake
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








