Rapa machachari nchini Marekani Soulja Boy, amedai kuwa maisha bila kuvuta bangi hayawezi kwenda. Msanii huyo hivi karibuni alitoa picha katika mtandao wa Twitter ambao inamuonyesha akiwa katika chumba kilichojaa bangi Picha hiyo inaonekana kuwekwa na msanii huyo katika ukurasa wake wa Twitter jambo hilo lilizua maswali mengi “kila mtu huwa anastarehe zake naamini ni bora kuvuta bangi kuliko kuvuta dawa za kulevya kama white suger” Hivi karibuni mkongwe wa Hip pop Snoop Dog naye alitoa kitabu kinachoelezea bangi
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








