Rapper Dmx amelazwa katika Hospital moja huko South Carolina,mara baada ya kupata ajali,kwa mujibu wa matandao wa Tmz imeweka bayana kuwa Rapper huyo alifikishwa hospital mara baada ya Ubongo wake kupata mtikisiko....Ajali hiyo imetokana na gari yake kupata itilafu kwenye matairi ya gari aliokuwa akiindesha hali yake inaendelea vyema ila kwa mujibu wa Tmz haijulikani Rapper huyo ataruhusiwa kutoka Hospital..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








