Msanii kutoka Uganda Jose Chameleone alikonga nyoyo za mashabiki wake kwenye tamasha la 15 la kimataifa la filamu kwa nchi za jahazi Ziff linaloendelea visiwani Zanzibar..Chameleone alionyesha ubora wake alipopanda jukwaani na kuimba zake maarufu...Ingawa Chameleone hakutumia vyombo vya bendi,bado mashabiki wake walimkubali kutokana na uwezo wake kushambulia jukwaa..nyimbo ambazo zilizoshangiliwa na mashabki ni Mama Roda, Jamila,Mama Mia,na Kipepeo,kupitia wimbo wa jamila mashabiki walikuwa wakisikika wakisema" RUDIA"RUDIA"Wasanii wengine waliotamba kwenye onyesho hilo ni pamoja na Diamond na msanii chipukizi kutoka Zanzibar Sultan King...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








