Rihanna anatarajiwa kufata nyayo za Raper 50 Cents,ambapo anatarajiwa kuwa mmoja kati watu kumi maharu Duniani kuhojiwa na Mwanamama Oprah Winfrey...ambapo mwanamama huyo anatarajiwa kuja upya kupitia kipindi chake ambacho kwa sasa kitajulikana kama OPRAH'S NEXT CHAPTER...Katika mahojiano hayo Rihhana anatarajiwa kuzungumzia mafanikio ya kazi zake kwa ujumla..Mahojiano hayo yanatariwa kurushwa kupitia vituo mbalimbali kote Ulimwenguni mnamo August 19 mwaka huu...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







