Mwanamuziki Sir Elton John ambaye ameolewa na mwanaume mwezie anayejulikana kama David Furnish,kwa hivi sasa yuko katika harakati za kuasli mtoto mwingine ..Sir Elton John ameliambia gazeti la The Guardian nia yake huyo ya kutaka kuasili mtoto mwingine na alisikika akisema 'sipendi kuona mtoto wangu akikuwa na upweke nataka kuasili mtoto mwingine " Elton John na mumewe wametangaza kwamba wanajisikia fahari kuwa na mtoto wa kiume mwenye afya,,mtoto huyo ambaye anajulikana kama Zachary Jackson Levon Furnish ..mtoto huyo wakati anazaliwa alikuwa na uzito wa wa paundi 71,..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








