Siku ya jana majira ya Saa Tatu usiku Muimbaji wa Kundi la The Voice Obedi John Mark amepata ajali Sinza kamanyola akiwa anaelekea Magomeni.Alikuwa ndani ya usafiri wa Bajaji,mbele yao kulikuwa na gari iliyokuwa ikiwafata kwa nyuma hivyo liliwachomeke na kusababisha wao kuingia kwenye Mtaro ulio pembezoni mwa Barabara.Hali yake sio nzuri amepata michubuko kwenye Mikono Miguu na sehemu za uti wa mgongo.Kwa sasa yupo hospital Muhimbili
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








