TEMBA KUACHIA VIDEO MPYA Posted on by Zourha Malisa Mh. Temba kuachia video mpya hivi karibuni ngoma inayoitwa Marioo ambayo amemshirikisha Bi. Cheka nyimbo hiyo ambayo imetengenezwa katika studio za mkubwa na wanawe chini ya mtayarishaji Suresh na video imetengenezwa na Pabro