Google PlusRSS FeedEmail

UMAHARUFU WAMCHENGUA KIM KARDASHIAN

Kim Kardashian,umeweka bayana huku akijisifia kuwa yeye ni maharufu zaidi kuliko mastaa wa kike ambao wanatamba katika oko la filamu kote Duniani..Kardashian amesema umaharufu wake ni mkubwa ukilinganisha na mastaa kama Gwyneth Paltrow,Jennifer Aniston na Angelina Jolie..Katika kuonyesha na anajiamni kuhusu umaharufu wake alisikika akisema 'Umaarufu wangu ni mkubwa sana kulinganisha na umaharufu wa Jennifer Aniston na Angelina Jolie,kwa maana ukilinganisha umaaru wa wote hao kwa umoja wao hawafikii umaharufu wangu..Baadhi ya mashabiki na walisikika wakisema kuwa ni kweli kuwa anaweza kuwa maharufu kuwazidi hao ila wenzie wamepata umaharufu kwa juhudi na kazi na umaharufu wao ni wa heshima sana tofauti ya yeye amekuwa maarufu mara baada ya mkanda wake wa ngono kutolewa na aliyekuwa mpenzi wake mnwanamuziki wa R&B Ray Jay

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging