JACKLINE AKIINGIA UWANJANI
WEMA AKIINGIA UWANJANI
WAKISALIMIA WAANDISHI WA HABARI
TAYARI KWA PAMBANO
KAZI KWELI KWELI
Mara baada ya kutupiana vijembe wasanii wawili katika Tasnia ya Filamu,Nchini Wema Sepetu na Jackline Wolper wamedhirisha kwa wadau kuwa kati yao hakuna mmbabe zaidi ya mwenzi mara baada ya kupambana na muamuzi kuamua wote wako sawa sawa....Pambano hilo la Raundi mbili lilikuwa kiburudisho tosha kwa wadau waliodhuria katika tamasha hilo