Google PlusRSS FeedEmail

CHAMELEONE AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR.




Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja ‘Jose Chameleone’  amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging