FILAMU YAWAKUTANISHA WAKONGWE WAWILI
Wakongwe wawili katika tasnia ya filamu nchini Jimmy Master na Fike ‘The Wild Cat’ Wilson wamekutana katika filamu mmoja. Akizungumza jijini Dar es Salaam kuwa filamu hiyo imekwenda kwa jina la Jamal imefanywa na kampuni ya Pilipili Entertainment
“Filamu ya Jamal imehusishwa zaidi ya wasanii mia tatu ambao wamecheza kama wasindikizaji” alisema, aliongezea kuwa filamu hiyo pia imehusisha wakali wengine kwenye tasinia hiyo kama Ahmed Olotu, Mobby Mpambale na Jamal itakuwa ni filamu ya tatu kwa Fike Wilson akicheza kama mhusika mkuu baada ya kufanya katika filamu yake ‘Power of God’
Alisema filamu ya Lost Dream kwa upande wa Jimmy Master nayo itakuwa ni filamu ya tatu baada ya filamu ya ‘Shamba kubwa’,Misukosuko ba ‘Doble Jay’ ambazo zipo katika mtiririko wa matoleo la kwanza hadi la nne