Mwanamuziki chipukizi Herman Christopher ‘Don Siria anayetoka na kibao chake kipya cha ‘Nikuulize’ amefunguka na kusema kuwa muziki si uhuni na wazazi wasiwazuie vijana wao kushiriki katika tasnia hiyo
Akizungumza na chombo kimojawapo cha habari alisema kuwa anakumbuka awali mama yake alimuomba awe anaimba kanisani kakini baadaye alimshauri mama yake na kumkiubalia kuingia katika muziki,
Don Siria alishawahi kushiriki mashindano ya BSS na kuimba kwaya , msanii huyo chipukizi ananyimbo yake ambayo inamtambulisha katika tasnia ya bongofleva inayoitwa ‘Nikuulize’ alifanya katika studio ya Ban Record imetengenezwa na Shed Clever, na video amefanya na show bize nyimbo hiyo. Alitoa ushauri kwa wasanii wakonge kufanya kazi kwa ushirikiano na wasanii chipukizi ili kupaisha muziki wa bongo fleva