Wakati Waziri Mkuu wa Kenya Raila Omolo Odinga akihamasisha Wakenya kumpigia mshiriki kutoka nchini humo. ambaye pia ni Mwanamuziki Prezzo,Haimu wake ambaye pia ni mwanamuziki Jaguar Hv karibuni Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa Twitter kwamba Wakenya na Waafrika wengine wasimpigie kura kwa sababu hatakiwi kushinda katika shindano hilo la Big Brother Africa Kila alieona hizo tweets alishtuka kwa maana alitumia maneno makali na ya kejeli....ila kuna Baadhi ya watu wanasema kuwa account hiyo katika mtandao huo wa kijamii si ya msanii huyo kwa maana mpaka sasa Jaguar hana Account katika mtandao huo Amesema
“nimeshtuka sana na nimepigiwa simu nyingi lakini sina account ya twitter, niko facebook tu na siku zote nimekua nikisema tumpigie kura Prezzo tumsupport kama Mkenya mwenzetu, namsupport kabisa kama kaka yangu kwa sababu zile hela hata zikienda kwa mtu mwingine labda Zambia au South Africa hazinisaidii, afadhali zichukuliwe na Mkenya mwenzangu”Baada ya kuyasema hayo, Jaguar akamalizia kwa kutamka “tofauti zetu ni za muziki lakini sio yeye kwenda Big Brother, namsupport kwenda Big brother Jaguar na Prezzo bado wako kwenye beef ambayo ilianza longtime kidogo kwa Jaguar kusema kwamba Prezzo hawezi muziki..