Google PlusRSS FeedEmail

TUNZO ZA MTV KURINDIMA SEPTEMBER 6 HUKO LOS ANGELES

Tunzo za Mtv Music Awards zimebakisha siku chache ili washindi waweze kupata Tunzo. Tunzo hizo hizo zinatarajiwa kufanyika huko Los Angeles Marekani Septemba 6 katika ukumbi wa Staples Center. Tayari majina ya wanaoshindania tuzo hizo yametajwa kati ya hao mwanamuziki Rihanna na rapper Drake wanaongoza kwa kuwa katika sehemu 5. tofauti tofauti Pia Rihanna anagombea tuzo ya video of the Year ..
Best Hip Hop Drake kupitia video ya HYFR na Best male video na video ya Take care akichuana na Usher Raymond na ngoma yake ya Climax, Turn up the music ya Chriss Brown na Boyfriend ya Justin Bieber. Ni kwa ufupi ili kukuhabarisha kuhusu MTV Music Awards jinsi stories zitakavyokuwa zinatokea about it tutakupa kupitia blog hii mpaka pale zitakapomalizika hiyo Septemba 6 mwaka huu wa 2012.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging