SHETTA APATA MTOTO WA KIKE Posted on by Zourha Malisa Hatimae msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Shetta amepata mtoto wa kike..akiongea na pro 24 sheta amesema anajisikia raha sana kutokana na mke wake kujifungua salama ...