| DJ Celvin akiwapagawisha mashabiki ndani ya Club Bilicans usiku wa Extrem Bash |
| Aliyesimama kulia ni DJ wa Pro 24 aliyewapagawisha wasanii wawili kutoka nchini Kenya Arvil na Marya |
| Ni moja wa maDJ wa pro 24 akiwa katika upande wa mitambo akiakikisha kila kitu kinaenda sawa kuhusu upande wa mitambo na kurusha shoo nzima live ndani ya club Bilicans |







