Google PlusRSS FeedEmail

BRAND PITT KUGEUKIA KATIKA UONGOZAJI WA FILAMU

Mcheza filamu Brand Pitt ameweka bayana kwa sasa anataka kuwa karibu na familia yake zaidi,Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa ana watoto sita tayari,akiwa na mama watoto wake ambaye naye ni mcheza filamu Angelina Jolie,awali alieleza kuhusu hamu yake ya kuwa mwongozaji wa filamu,hayo alisema atapenda kuyafanya  hayo mwakani ambapo atakuwa akitimiza miaka 50 tangu kuzaliwa kwake..ila amesema kwa sasa atakuwa karibu na sana na familia yake kabla ya kuwa muongozaji wa filamu..wakati yeye akiwa amesimama kucheza filamu tayari binti yake Vivienne ambaye ana umri wa miaka minne anatarajiwa kuonekana kwenye filamu ya Disneyis Maleficent na itajkuwa filamu ya kwanza kuchezwa na mtoto wake huyo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging