Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAE GEORGE MICHAEL AANZA KUTOA BURUDANI

Mwanamuziki George Michael ameanza rasmi kutoa burudani kwa mashabiki wake..Alisitisha kufanya maonyesho yake mara baada ya kupata homa kali {nimonia}  akiwa jukwaani..Mwanamuziki huyo alipata homa hiyo akiwa katika moja ya ziara zake huko Vienna Desemba mwaka jana..Amere jukwaani na tayari ameshafanya  onyesho lake la kwanza katika viwanja vya Lg Arena Mjini Birmingham ambapo aliwaambia mashabiki wake amerejea rasmi jukwaanii na yuko fiti kuwapa burudani safi..Mwanamuziki huyo ambae pia ni shoga,jina lake halisi ni Georgios Kyriacos Panayiotou..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging