Google PlusRSS FeedEmail

RONAN KEATING APATA CHUMA KIPYA

Mwanamuziki Ronan Keating kwa sasa ameanza kupata raha mara baada ya kupata mpenzi mpya.mpenzi wake mpya huyo anajulikana kama Storm Uechtritz,Keating na Storm walianza mahusiano mara baada ya kutengana na mpenzi wake wa awali..Ronan Keating amba alishawahi kuwa mmoja wa wanamuziki wa kundi la Boyzone amepata mpenzi  mwingine wakati akiwa katika X-Factor huko Australia ambako alikuwa ni muandaaji..Ronan mwenye miaka 35 sasa ndoa yake ya miaka 14 na Yvonne iliisha rasmi Aprili mwaka huu kutokana na kashfa iliyomkuta kwa kufanya mapenzi na dansa wake... 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging