Mcheza filamu nchini Aunt Ezekiel Mara baada ya kuonyesha nguo zake za ndani hadharani kwenye tamasha la Fiesta 2012 Mkoani Mwanza.Hatimae Baraza la sanaa Nchini Basata limetoa kauli yake ya kusikitishwa na Picha za msanii huyo..Tulipojaribu kuwasiliana na Msanii huyo,alipopokea simu na kuanza kumhoji kuhusiana na kauli ya Basata alikata simu...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








