Google PlusRSS FeedEmail

MANGWEIR AWASHUKIA MASHOGA NA WASAGAJI

Mwanamuziki Albert Ngweir mesikika na kutoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu alicho andika kwenye ukurasa wake katika mtandao wa kijamii  twitter ..ujumbe uliokuwa ukisema  Mashoga Kupunguza ushindani na Lesbians wapunguze mzuka lasivyo watapewa mimba wote ili watulie na watoto wao .Ngweir amesema Vijana wengi siku hizi wanaona ushoga ni kawaida kama Marekani na wamesahau utamaduni na sheria za Dini . Ata takwimu zinaonyesha wanawake wana zaliwa zaidi kuliko wanaume na Wanawake wapo wengi Duniani na  Mwanaume anapoamua kuwa mwanamke inakuwa sio issue.. sababu wanapunguza Competition kwa Mademu ila Lesbians wapunguze mzuka wakutoka na mademu lasivyo watapewa wote Watapewa Ujauzito.Kauli ya msanii huyo imezua utata mkubwa kwa sababu alipoulizwa je kuna vijana wangapi ambao anawajua na awataje alisikika akisema "siwezi kuwataja maana wanajulikana"...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging