Google PlusRSS FeedEmail

SINTA KUTOKA NA UJIO MPYA





Baada ya kukamilisha filamu ya The Return of J-LO, msanii wa filamu Christina John ‘Sinta’ anatarajia kutoa filamu nyingine itakayokwenda kwa jina la Footballer Girlfriend

Sinta alisema kuwa ameshakamilisha filamu yake mpya ya The Retutn of J-LO ambayo inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni

Alisema filamu hiyo imesheheni mambo mbalimbali ambapo kwa kiasi kikubwa imelenga maisa yake mwenyewe na kuwashirikisha wasanii mbalimbali

Amesema amejiwekea mikakati endelevu ambayo atahakikisha kuwa analiteka soko la filamu nchini ambapo kwa sasa anajipanga kwa ajili ya kutoa filamu nyingine itakayokwenda kwa jina hilo

Alisema kuwa filamu hiyo imelenga zaidi maisha ya wacheza soka pamoja na marafiki zao wa kike

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging