Baada ya kufanya makamuzi mwanamuziki huyo na wasaidizi wake walihamia katika klabu moja kupiga ulabu na huko ndik mambo yalipomharibikia
Inaelezwa baada ya kupiga pombe Rihanna alianza kujitapikia lakini wasaidizi wake walifanya kazi yao ipasavyo kuhakikisha kuwa mapaparazi hawapati picha zake
Hata hivyo ulevi huo haukumzuia Rihanna kuendeleza bata, kwani baada ya kutapika aliendelea kuhama klabu moja kwenda nyingine mpaka alfajiri huku akiendelea kupiga maji