RIHANNA ATAMBA NA DIAMONDS
Miaka saba baada ya kutamba na ngoma yake ya kwanza ya 'Pon de Replay' Rihanna ameendelea kuwa mkali asiyezuilika katika muziki
Huku akiwa ameachia nyimbo 11 zilizoshika namba moja , muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ameng'aa tena akiwa na wimbo wake mpya wa "Diamonds" ambao ni 'Single'ya kwanza kwa ajili ya albamu ya saba katika miaka saba