CHRISTINA MILIAN AONYESHA MIGUU
Muimbaji Christina Milian aliamua kuwaonyesha watu miguu yake mizuri wakati alipokuwa akifanya manunuzi mjini Los Angeles
Kimwana huyo alionekana akiwa amevaa pensi fupi iliyokatwa ya jensi viatu vya mcuchumio vya rangi ya pinki na alikuwa akipozi na kutabasamu kila paparazi walipomfuata kwa ajili ya kupiga picha