SEAN KINGSTON:NILIPEWA GARI NA JUSTINE BIEBER
Mwimbaji Sean Kingston amesema msanii mwenzake Justin Bieber amempa gari yake ya kifahari aina ya Fisker Karma kirahisi kutokana na kilichomfurahisha
Kingston alionekana akitoka Boa Steakhouse huko Hollywood hivi karibuni akiendesha Karma ambayo Justine alipewa na Meneja wake Scooter Braun alipotimiza miaka 18
Kutokana na hali hiyo kumekuwa na maneno mengi jambo lililopeleka Sean kuzungumzia hali hiyo na kudai kuwa ni jambo la kawaida kutokea kwa hali hiyo japokuwa wengi wamelichukulia kivingine tukio hilo