CHRIS BROWN AKUMBWA NA MKASA MWINGINE
Msanii wa Pop na R&B, Chris Brown amepata balaa lingine katika mapenzi lakini safari hii na mpenzi wa sasa Karrueche
Mrembo huyo aliyeichukua nafasi ya Rihanna aliamua kuchukua picha aliyoipiga na mvulana mwingine huku akimpiga busumdomoni na kuiweka katika mitandao
Tukio hilo limechukuliwa kama ni mkosi wa mapenzi unaomwandama mkali huyo toka alipoachana na Rihanna
Pia tukio hilo lililofanywa na Karrueche linachukuliwa kama la kulipiza kisasi kwa Brown ambaye alipigwa busu na Rihanna katika utoaji wa tuzo za VMA