SOULJA BOY APATA AJALI
Mwanamuziki wa miondoko ya rap wa nchini Marekani The two Soulja Boy amepata ajali na gari yake ya kifahari la aina ya Bentley, lakini hakudhurika , kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walisema kuwa mtu mmoja aliyekuwa akiendesha gari nyingine ndiye alisababisha ajali hiyo kutokea
Lakini wakati ajali hiyo inatokea mwanamuziki huyo hakuwa anaendesha gari hilo , alikuwa amekaa kwenye siti ya abiria huku rafiki yake Bobbiye Chevy ndio alikuwa akiendesha
Na tayari mwanamuziki huyo ameshaizungumiza ajali hiyo na kujali kuwa ilikuwa ni ya bahati mbaya na anashukuru hakuna mtu aliyeumia