Kituo maarufu Ulimwenguni Black Entertainment Television BET Kimewatambilisha watangazaji wapya wa kipindi cha 106&Park akiwemo mcheza filamu Rapper Shad Gregory Moss aka Bow Wow..Bow Wow atakuwa akiunda ni mmoja kati ya wanne watakao kuwa wakitangaza katika kipindi hicho..