Google PlusRSS FeedEmail

BOBBI KRISTINA AVALISHWA PETE NA 'KAKA YAKE'



Bobbi Kristina Brown ambaye ni mtoto wa Boby Brown na marehemu Witney Houston amevalishwa pete na mpenzi wake Nick Gordon

Gordon ni kaka wa Bobbi ambaye aliasiliwa na mama yake, huku akilelewa katika familia hiyo kabla kudondokea katika penzi la dada yake

Teyari binti huyo ameshaonekana mara kadhaa akiwa amevaa pete hiyo ambayo inasemekana ni ya thamani kubwa, wawili hao wnatarajia kuonesha uchumba wao katika kipindi cja The Houstons ambacho kitahusisha maisha baada ya kifo cha mama yao jinsi yanavyoendelea

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging