BEYONCE APATA MIMBA TENA?
Kuna habari ambazo zimesambaa nchini Marekani zikimhusisha Beyonce Knowles kuwa huenda anaujauzito mwingine tena, Blue Ivy Carter ndio mtoto wao wa kwanza wa wasanii hao ambao wamekuwa katika ndoa kwa muda mrefu
Habari hizo zilianza kusambaa mapema wiki hii ambazo bado hazijawa na ukweli wowote mpaka sasa kwa mujibu wa mtu wa kwanza ambaye yupo karibu na familia hiyo alidaiwa kuwa yawezekana wawili hao wanataka kupata watoto wa haraka baada ya kupata raha na Blue Ivy








