Waliokuwa wanenguaji wa mwanzo wa bendi ya Diamond Sound Ikibinda Nkoi, Janeth Isinike, Modesta Scud na Lilian Internet wanatarajiwa kujumuishwa katika kikosi kitakachotumbuiza kwenye onesho la Usiku wa Sauti na Marafiki wa kweli
Akizungumza Dar es Salaam jana aliyekuwa kiongozi wa Diamond Sound, Ibonda Katumbi Jesus alisema watawaita wanenguaji hao ili kuonesha mshikamano baina yao kwani walifanya kazi nzuri pamoja na haitakuwa vyema kuwaacha
Sisi ni familia kama familia lazima tuwe pamoja mimi nimewaita wenzangu nifanye nao kazi pamoja ni kama siku yangu ya kuzaliwa Modesta, Janeth, Salima Abeid na marehemu Elly Longomba waliweka historia pia katika unenguaji kwenye nchi hii
Lilian kwa sasa upo Mashujaa Musica Janeth ni muimbaji wa African Star wakati Modesta ameacha shughuri za unenguaji
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.