BENDI YA KARUNDE YAKAMILISHA DVD YAKE
Bendi ya muziki wa dansi inayokuja kwa kasi Kalunde chini ya rais wake Doe Mwanambilimbi imekamilisha DVD ya wimbo wake mpya wa fungua, ambapo ipo katika albamu imebaki stori
Akizungumza dar es Salaam hivi karibuni kiongozi wa bendi hiyo Bob Rudala alisema kuwa DVD hiyo itanza kuonekana kuanzia leo katika vituo mbalimbali vya terevisheni nchini
Alisema wanatarajia kutoa DVD ya nyimbo zote ambazo zipo katika albamu yao ambayo inatamba kwa sasa katika vituo mbalimbali vya redio hapa nchini