Google PlusRSS FeedEmail

KELLY ROWLAND APAGAWISHA NA 'ICE'



Wimbo wake pya wa 'Ice' unaweza kuwa ni barafu, lakini Kelly Rowland amewasha moto katika video ya wimbo huo. Nyota huyo wa R&B alituma kwenye ukurasa wake wa Twitter picha kutokea eneo walilokuwa wakirekodia video hiyo ambayo ilikuwa ni bab'kubwa

Vimwana waliovalia bikini wakiwa wamezungukwa na wanaume wenye misuli iliyojengeka kimazoezi ndio wanaonekana katika picha hiyo.Ni wiki iliyopita tu wakati Kelly alipotangaza kuwa lbamu yake ya nne itaitwa 'Year of the Woman'

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging