Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA APAMBA TENA JARIDA VOGUE



Rihanna ambaye amekuwa akivunja rekodi za muziki kila kukicha amefanya jambo lingine adimu Marekani. Kimwana huyo ambaye anaripotiwa kurudiana na mpenziwe wa zamani, Chris Brown, amepamba ukurasa wa mbele wa toleo la Novemba 2012 la jarida la Vogue

Hii ni mara ya tatu katika miaka miwili iliyopita kwa Rihanna kupamba jarida hilo kwani alipamba toleo la April 2012 na kisha Novemba 2011

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging