Wakati watu wengi Maharufu kote ulimwenguni husifia sana mavazi yao,hata kama huwa hayawapendezi,ila imekuwa tofauti kwa mwanamitindo Kim Kardashian,ambaye ameponda vazi lake ambalo alivaa akiwa katika mahojiano na Television moja ya huko Miami..ambapo alikuwa akihojiwa kuhusu muendelezo wa Tamthilia yake inayojulikana kama Kardashian Family ,katika mahojiano hayo alisikika akisema nilitaka kuwa tofauti kidogo nilipotoka nikagundua Jacket lilikuwa kubwa na halikunikaa vizuri kwa kweli sikupendeza kabisaa,na nilipogundua sikutaka watu waanze kusema ila nimeamua kuzungumzia hilo na tayari nimeandika kwenye blog yangu....Je nikweli hakupendeza?Tazama picha hiyo kama vp toa comment yako
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








