Google PlusRSS FeedEmail

DEFAO KUSHIRIKI MIAKA 16 YA FM ACADEMIA



Mwanamuziki mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Defao Matumona, amealikwa kutoa burudani kwenye sherehe za miaka 16 tangu kuanzishwa kwa bendi ya FM Academia

Rais wabendi hiyo Nyoshi El- saadat alisema FM Academia itatimiza miaka 16 mwezi ujao na watasindikizwa na Defao, ambaye atakuwa akishiriki sherehe za bendi hiyo kwa mara ya pili

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging