Google PlusRSS FeedEmail

MEEK AMEACHIA KAVA NA LISTI YA ALBAMU YAKE






Rapa Meek Mill ameachia kava na listi ya nyimbo za albamu yake mpya inayoitwa 'Dreams and Nightmares.' Albamu hiyo imewashirikisha wanamuziki wa Maybach Music Cohorts Rick Ross na Wale, wakati wasaniikama J. Blige, Drake na Nas watamuunga mkono Meek Mill katika uzinduzi wa albamu yake hiyo.

"Watu wengi wamekuwa wakipuuzia rapu ya kweli na Hip-Hop. Nataka kuwa na albamu yenye nyimbo kali" alisema Meek.

Nyimbo iliyopo kwenye albamu hiyo iliyotoka hivi karibuni inayoitwa 'Young $ Getting It" ndiyo nyimbo ambayo inafanya vizuri sana katika vituo vingi vya redio.

Mara tu baada ya kuzinduliwa kwa albamu hiyo hapo Octoba 30 mwaka huu, Meek atafanya tamasha la kimuziki alilolipa jina la 'College/arena tour' na ambalo litaanza katika mji wa Columbus, Maryland mwezi Novemba tarehe mbili.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging